sw_tn/jhn/12/12.md

12 lines
254 B
Markdown

# Hosana
Hii inamaanisha "Mungu aokoe."
# Mbarikiwa
Hii huelezea hamu ya kutaka Mungu afanye mambo mazuri kwa mtu huyo.
# ajae kwa jina la Bwana
Kuja kwa jina la mtu fulani humaanisha kutumwa kwa mamlaka na nguvu zake, au kuja kama mwakilishi wake.