sw_tn/jhn/10/intro.md

1.5 KiB

Yohana 10 Maelezo ya Jumla

Dhana maalum katika sura hii

Kondoo

Kondoo ni taswira ya kawaida inayotumiwa kutaja watu. Katika kifungu hiki, inahusu hasa watu wanaoamini Yesu na kumfuata. Mafarisayo pia wanalinganishwa na mbwa mwitu wanaoiba na kuharibu kondoo.

Kufuru

Ikiwa mtu hujiita Mungu, basi inachukuliwa kuwa ni kufuru. Katika sheria ya Musa, adhabu ya kufuru ilikuwa kupigwa mawe hadi kufa. Hawakuamini Yesu, kwa hiyo wakachukua mawe ili wamwue. Yesu hakuwa na hatia ya kufuru kwa sababu yeye ni Mungu. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/blasphemy]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/lawofmoses]])

Mifano muhimu ya usemi katika sura hii

Zizi la kondoo

Mfano uliotumiwa hapa ni kuhusu mahali ambapo kondoo huchungwa. Kungekuwa na mlango au lango ambalo mchungaji angekuwa ameingia ndani ya zizi la kondoo. Kondoo mara moja humtambua. lakini, wizi angeingia ndani ya zizi la kondoo kwa njia nyingine ambayo hawezi kukamatwa. Kondoo watakimbia kutoka mwizi kwa sababu hawakumtambua. Yesu anatumia hii kama mfano wa huduma yake. (See: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor)

"Ninatoa maisha yangu ili niipate tena"

Ingawa maneno haya hakuwekwa tofauti na mengine, lakini hakika ni unabii uhusu kifo cha Yesu. Inasisitiza kwamba kwa hiari alikufa kwa ajili ya dhambi za mwanadamu. (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/prophet]] and [[rc:///tw/dict/bible/kt/sin]])

<< | >>