sw_tn/jhn/08/07.md

20 lines
377 B
Markdown

# Wakati walipoendelea
Neno "walipo" linarejea kwa waandishi na Mafarisayo.
# Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu
"Kama yeyote kati yenu hana dhambi" au Ikiwa mmoja kati yenu hajatenda dhambi kamwe"
# Miongoni mwenu
Yesu alikuwa anaongea na waandishi na Mafarisayo, na pengine makutano ya watu pia.
# Mwacheni
Mwacheni mtu huyo
# Aliinama chini
Aliinama kufikia chini