# Wakati walipoendelea Neno "walipo" linarejea kwa waandishi na Mafarisayo. # Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu "Kama yeyote kati yenu hana dhambi" au Ikiwa mmoja kati yenu hajatenda dhambi kamwe" # Miongoni mwenu Yesu alikuwa anaongea na waandishi na Mafarisayo, na pengine makutano ya watu pia. # Mwacheni Mwacheni mtu huyo # Aliinama chini Aliinama kufikia chini