sw_tn/jhn/05/25.md

12 lines
277 B
Markdown

# Amini, amini
Tafsiri hii kama ulivyotafsiri mahali pengine pa "amini, amini."
# wafu wataisikia sauti yangu,Mwana wa Mungu, na wao waisikiao watakuwa hai
Sauti ya Yesu , Mwana wa Mungu, itawafufua wafu kutoka makaburini.
# Mwana wa Mungu
Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu.