# Amini, amini Tafsiri hii kama ulivyotafsiri mahali pengine pa "amini, amini." # wafu wataisikia sauti yangu,Mwana wa Mungu, na wao waisikiao watakuwa hai Sauti ya Yesu , Mwana wa Mungu, itawafufua wafu kutoka makaburini. # Mwana wa Mungu Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu.