sw_tn/jhn/04/27.md

8 lines
257 B
Markdown

# Wakati huo wanafunzi wake wakarudi
"wakati Yesu alipokuwa akiyasema haya wanafunzi wake walirudi kutoka mjini."
# nao walikuwa wakishangaa kwa nini alikuwa akiongea na mwanamke
lilikuwa ni jambo la nadra kwa Muyahudi kuongea na mwanamke asiye mfahamu.