sw_tn/jhn/03/14.md

12 lines
430 B
Markdown

# Kama vile Musa alivyomwinua juu yule nyoka jangwani
hili ni fumbo baadhi ya watu "watainua" Yesu kama Musa alivyoinuliwa nyoka wa shaba katika jangwa.
# Vivyo hivyo Mwana wa Adamu ni lazima ainuliwe juu
Jangwani ni sehemu kavu lakini hapa anamaanisha mahali walipotembea Musa na Waisraeli.
# katika jangwa
Jangwani ni sehemu kavu, sehemu ya jangwa, lakini hapa wanamaanisha mahali ambapo Musa na Waisraeli walizunguka."