# Kama vile Musa alivyomwinua juu yule nyoka jangwani hili ni fumbo baadhi ya watu "watainua" Yesu kama Musa alivyoinuliwa nyoka wa shaba katika jangwa. # Vivyo hivyo Mwana wa Adamu ni lazima ainuliwe juu Jangwani ni sehemu kavu lakini hapa anamaanisha mahali walipotembea Musa na Waisraeli. # katika jangwa Jangwani ni sehemu kavu, sehemu ya jangwa, lakini hapa wanamaanisha mahali ambapo Musa na Waisraeli walizunguka."