sw_tn/jhn/03/09.md

16 lines
424 B
Markdown

# Mambo haya yanawezekanaje?
hili ni swali mbalaga ambalo linalosisitiza sentesi. "Hii hawezekani!" au" Hili haliwezi kutokea!"
# Wewe ni mwalimu wa Israeli na hauyajui mambo haya?
Hili ni swali mbagala ambalo linaonyesha msisitizo. "weweni mwalimu wa Israeli , na ninashangaa kwamba haufahamu maneno haya!"
# Amini, amini
Tafsiri kama ulivyotafsiri.
# twazungumza
Yesu aliposema "sisi' hakuwa anamjumuisha Nikodemo.