sw_tn/jhn/02/23.md

12 lines
365 B
Markdown

# Basi alikuwa Yerusalemu
Neno basi linatutambulisha katika tukio jingine katika hadithi
# wakaalimini jina lake
Hapa "jina" ni neno linalowakilisha utu wa Yesu. "aminini" au "kuamini katika yeye."
# ishara za maajabu
Miujiza inaweza kuitwa "ishara" kwa sababu yanatumiwa kama ushahidi kwamba Mungu ni mwenye nguvu ambaye aliye na mamlaka kamili juu ya dunia.