sw_tn/jhn/01/26.md

12 lines
393 B
Markdown

# Maelezo kwa jumla:
mstari wa 28 unatwambia habari za nyuma kuhusu mwanzo wa hadithi.
# Huyu ndiye ajaye baada yangu
AT: " Atawahubiri baada ya mimi kuondoka"
# Mimi sisitahili "kufungua gidamu ya viatu vyake
kazi ya kufungua viatu vyake " ambayo ni kazi ya mtumwa au mja kazi ni fumbo. Johana nasema kuwa hasitahili kumfanyia Yesu kazi hata ile ya chini kabisa liyofanywa na watumwa.