# Maelezo kwa jumla: mstari wa 28 unatwambia habari za nyuma kuhusu mwanzo wa hadithi. # Huyu ndiye ajaye baada yangu AT: " Atawahubiri baada ya mimi kuondoka" # Mimi sisitahili "kufungua gidamu ya viatu vyake kazi ya kufungua viatu vyake " ambayo ni kazi ya mtumwa au mja kazi ni fumbo. Johana nasema kuwa hasitahili kumfanyia Yesu kazi hata ile ya chini kabisa liyofanywa na watumwa.