sw_tn/jhn/01/22.md

24 lines
581 B
Markdown

# Kiunganishi cha sentesi:
Johana anaendela kuongea na makuhani na walawi.
# wakamwambia
"makuhani na Walawi wakamwambia Yohana>"
# sisi...sisi
Makuhani na Walawi, sio Yohana.
# Akasema
"Yohana akasema"
# Mimi ni sauti aliaye nyikani
Neno "sauti" ni mfano ambao unamwakilisha Yohana na ujumnbe wake. AT: Mimi ni kama mtu ongea kwa sauti mbapo hakuna mtu yeyote anaweza kunisikia.
# Inyosheni njiai ya Bwana
Hapa neno "njia" limetumika kama mfanoAT: Jiandae mwenyewe kwa ajili ya ujio wa Bwana kama vile ambavyo watu waandaavyo barabara kwa ajili ya ujio wa mtu muhimu.