# Kiunganishi cha sentesi: Johana anaendela kuongea na makuhani na walawi. # wakamwambia "makuhani na Walawi wakamwambia Yohana>" # sisi...sisi Makuhani na Walawi, sio Yohana. # Akasema "Yohana akasema" # Mimi ni sauti aliaye nyikani Neno "sauti" ni mfano ambao unamwakilisha Yohana na ujumnbe wake. AT: Mimi ni kama mtu ongea kwa sauti mbapo hakuna mtu yeyote anaweza kunisikia. # Inyosheni njiai ya Bwana Hapa neno "njia" limetumika kama mfanoAT: Jiandae mwenyewe kwa ajili ya ujio wa Bwana kama vile ambavyo watu waandaavyo barabara kwa ajili ya ujio wa mtu muhimu.