sw_tn/jhn/01/16.md

20 lines
448 B
Markdown

# utimilifu
Huli neno linamaanisha kwa neema ya Mungu ambayo haina mwisho.
# kipawa cha bure baada ya kingine
"baraka baada ya baraka"
# aliye mwanadamu pekee, ambaye ni Mungu
Hii inaweza kumaanisha1)aliye Mungu wa wa pekee" au" 2) yeye aliye Mwana wa pekee,"
# aliye katika kifua cha Baba
Neno "kifua" ni mfano . Hii inamaanisha kuwa Yesu ndiye aliye karibu na Baba" ikimaanisha ushusino wa karibu.
# Baba
Hiki ni cheo muhimu cha Mungu.