# utimilifu Huli neno linamaanisha kwa neema ya Mungu ambayo haina mwisho. # kipawa cha bure baada ya kingine "baraka baada ya baraka" # aliye mwanadamu pekee, ambaye ni Mungu Hii inaweza kumaanisha1)aliye Mungu wa wa pekee" au" 2) yeye aliye Mwana wa pekee," # aliye katika kifua cha Baba Neno "kifua" ni mfano . Hii inamaanisha kuwa Yesu ndiye aliye karibu na Baba" ikimaanisha ushusino wa karibu. # Baba Hiki ni cheo muhimu cha Mungu.