sw_tn/jhn/01/10.md

8 lines
309 B
Markdown

# Alikuwapo duniani, na kwa yeye ulimwengu ulipata kuwepo, lakini ulimwengu haukumjua
AT: "Lakini pamoja kwamba alikuwa ulimwenguni, na kwamba Mungu aliumba vitu vyote kwa yeye, bado watu hakumtambua."
# alikuja kwa vitu vyake, na watu wake hawakumpokea
AT: "Alikuja kwa wenzake , na wenzake hwakumpokea."