# Alikuwapo duniani, na kwa yeye ulimwengu ulipata kuwepo, lakini ulimwengu haukumjua AT: "Lakini pamoja kwamba alikuwa ulimwenguni, na kwamba Mungu aliumba vitu vyote kwa yeye, bado watu hakumtambua." # alikuja kwa vitu vyake, na watu wake hawakumpokea AT: "Alikuja kwa wenzake , na wenzake hwakumpokea."