sw_tn/jer/52/06.md

20 lines
369 B
Markdown

# Katika mwaka wa nne, siku ya tisa ya mwaka huo
Huu ni mwezi wa nne kwa kalenda ya Kiebrania. Siku ya tisa ni karibu na mwanzo wa Julai kwa kalenda ya Magharibi.
# Mji
Huu ni mji wa Yerusalemu.
# ulivunjwa
Watu wa Babeli waliubomoa ukuta uliozunguka mji.
# kati ya kuta mbili
Hizi ni kuta mbili ukuta wa bustani ya mfalme na ukuta wa mji.
# uwazi
"tambarare"