sw_tn/jer/52/06.md

369 B

Katika mwaka wa nne, siku ya tisa ya mwaka huo

Huu ni mwezi wa nne kwa kalenda ya Kiebrania. Siku ya tisa ni karibu na mwanzo wa Julai kwa kalenda ya Magharibi.

Mji

Huu ni mji wa Yerusalemu.

ulivunjwa

Watu wa Babeli waliubomoa ukuta uliozunguka mji.

kati ya kuta mbili

Hizi ni kuta mbili ukuta wa bustani ya mfalme na ukuta wa mji.

uwazi

"tambarare"