sw_tn/jer/51/54.md

290 B

Sauti ya dhiki inatoka Babeli, anguko kuu toka kwenye nchi ya Wakaldayo

Wazo moja linaelezewa kwa njia mbili ili kuonesha msisitizo.

Sauti ya adui ni kama mawimbi ya maji mengi

Sauti ya maadui wanaokuja itakuwa kubwa sana.

mashujaa wake wamekamatwa

"Wamewakamata mashujaa wake."