# Sauti ya dhiki inatoka Babeli, anguko kuu toka kwenye nchi ya Wakaldayo Wazo moja linaelezewa kwa njia mbili ili kuonesha msisitizo. # Sauti ya adui ni kama mawimbi ya maji mengi Sauti ya maadui wanaokuja itakuwa kubwa sana. # mashujaa wake wamekamatwa "Wamewakamata mashujaa wake."