sw_tn/jer/51/54.md

12 lines
290 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sauti ya dhiki inatoka Babeli, anguko kuu toka kwenye nchi ya Wakaldayo
Wazo moja linaelezewa kwa njia mbili ili kuonesha msisitizo.
# Sauti ya adui ni kama mawimbi ya maji mengi
Sauti ya maadui wanaokuja itakuwa kubwa sana.
# mashujaa wake wamekamatwa
"Wamewakamata mashujaa wake."