sw_tn/jer/51/43.md

16 lines
369 B
Markdown

# Miji yao
"Miji ya Babeli"
# Nitamuadhibu Beli
Beli alikuwa mungu wa Babeli na anawakilisha nchi nzima na watu wanaoiabudu.
# toka kwenye kinywa chake alichokimeza
Bwana analinganisha sadaka na kafara zote a Beli na vitu alivyovila.
# Mataifa hayatakwenda tena
Bwana anayafananisha mataifa mengi yanayokwenda bBabeli kutoa sadaka kwa beli kama mto unatotembea.