# Miji yao "Miji ya Babeli" # Nitamuadhibu Beli Beli alikuwa mungu wa Babeli na anawakilisha nchi nzima na watu wanaoiabudu. # toka kwenye kinywa chake alichokimeza Bwana analinganisha sadaka na kafara zote a Beli na vitu alivyovila. # Mataifa hayatakwenda tena Bwana anayafananisha mataifa mengi yanayokwenda bBabeli kutoa sadaka kwa beli kama mto unatotembea.