sw_tn/jer/51/43.md

369 B

Miji yao

"Miji ya Babeli"

Nitamuadhibu Beli

Beli alikuwa mungu wa Babeli na anawakilisha nchi nzima na watu wanaoiabudu.

toka kwenye kinywa chake alichokimeza

Bwana analinganisha sadaka na kafara zote a Beli na vitu alivyovila.

Mataifa hayatakwenda tena

Bwana anayafananisha mataifa mengi yanayokwenda bBabeli kutoa sadaka kwa beli kama mto unatotembea.