sw_tn/jer/51/33.md

268 B

Binti wa Babeli

Ni jina lingine linalowakilisha Babeli.

Kama sakafu ya kufikichia

Bwana analinganisha kufikichia na wakati wa starehe wa Babeli.

Muda wa kuvuna utakuja kwake

Kuvuna ni matokeo ya matendo ambayo watu waliyafanya mwanzo. "Babeli itaadhibiwa."