sw_tn/jer/51/33.md

12 lines
268 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Binti wa Babeli
Ni jina lingine linalowakilisha Babeli.
# Kama sakafu ya kufikichia
Bwana analinganisha kufikichia na wakati wa starehe wa Babeli.
# Muda wa kuvuna utakuja kwake
Kuvuna ni matokeo ya matendo ambayo watu waliyafanya mwanzo. "Babeli itaadhibiwa."