# Binti wa Babeli Ni jina lingine linalowakilisha Babeli. # Kama sakafu ya kufikichia Bwana analinganisha kufikichia na wakati wa starehe wa Babeli. # Muda wa kuvuna utakuja kwake Kuvuna ni matokeo ya matendo ambayo watu waliyafanya mwanzo. "Babeli itaadhibiwa."