sw_tn/jer/51/25.md

237 B

Mlima

Bwana anazungumza na Babeli kama vile ulikuwa mlima anaoweza kuzungumza nao kama mtu. "taifa lenye nguvu"

Wengine

Hawa ni watu wote ambao wamevamiwa na Babeli.

Maporomoko

Maporomoko ni mteremko mkali wa mlima au kilima.