# Mlima Bwana anazungumza na Babeli kama vile ulikuwa mlima anaoweza kuzungumza nao kama mtu. "taifa lenye nguvu" # Wengine Hawa ni watu wote ambao wamevamiwa na Babeli. # Maporomoko Maporomoko ni mteremko mkali wa mlima au kilima.