sw_tn/jer/50/45.md

500 B

Maamuzi ambayo Bwana ameamua kwa ajili ya Babeli , maamuzi ambayo Bwana ameamua kwa ajili ya nchi ya Kaldayo

Sentensi hizi zina maana inayofanana. "Maamuzi ambayo Bwana ameamua kwa ajili ya Babeli na Kaldayo.

Watatolewa nje

Hii inamaanisha kuwa watu wa Babeli watatolewa kwenye nyumba zao wawe wanataka au hawataki.

Nchi zao zenye malisho zitaharibiwa

"Nitazigaribu nchi zao za malisho"

Sauti ya kuivamia Babeli itatikisa dunia

Sentensi hii inafananisha anguko la taifa lenye nguvu sa