# Maamuzi ambayo Bwana ameamua kwa ajili ya Babeli , maamuzi ambayo Bwana ameamua kwa ajili ya nchi ya Kaldayo Sentensi hizi zina maana inayofanana. "Maamuzi ambayo Bwana ameamua kwa ajili ya Babeli na Kaldayo. # Watatolewa nje Hii inamaanisha kuwa watu wa Babeli watatolewa kwenye nyumba zao wawe wanataka au hawataki. # Nchi zao zenye malisho zitaharibiwa "Nitazigaribu nchi zao za malisho" # Sauti ya kuivamia Babeli itatikisa dunia Sentensi hii inafananisha anguko la taifa lenye nguvu sa