sw_tn/jer/50/45.md

16 lines
500 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maamuzi ambayo Bwana ameamua kwa ajili ya Babeli , maamuzi ambayo Bwana ameamua kwa ajili ya nchi ya Kaldayo
Sentensi hizi zina maana inayofanana. "Maamuzi ambayo Bwana ameamua kwa ajili ya Babeli na Kaldayo.
# Watatolewa nje
Hii inamaanisha kuwa watu wa Babeli watatolewa kwenye nyumba zao wawe wanataka au hawataki.
# Nchi zao zenye malisho zitaharibiwa
"Nitazigaribu nchi zao za malisho"
# Sauti ya kuivamia Babeli itatikisa dunia
Sentensi hii inafananisha anguko la taifa lenye nguvu sa