sw_tn/jer/50/41.md

16 lines
332 B
Markdown

# Tazama
Neno hili linaonesha kuwa makini kusikiliza anachosema Bwana.
# taifa kubwa na wafalme wengi.
Hii inaonesha wakati ambao Medesi na Peru waliivamia Babeli katika mwaka wa 539 kabla ya Kristo.
# kwa mpangilio kama watu wapambanaji
Namna ambavyo wapiganaji wanajipanga vitani.
# Binti wa Babeli
Hawa ni watu wa Babeli.