# Tazama Neno hili linaonesha kuwa makini kusikiliza anachosema Bwana. # taifa kubwa na wafalme wengi. Hii inaonesha wakati ambao Medesi na Peru waliivamia Babeli katika mwaka wa 539 kabla ya Kristo. # kwa mpangilio kama watu wapambanaji Namna ambavyo wapiganaji wanajipanga vitani. # Binti wa Babeli Hawa ni watu wa Babeli.