sw_tn/jer/50/41.md

332 B

Tazama

Neno hili linaonesha kuwa makini kusikiliza anachosema Bwana.

taifa kubwa na wafalme wengi.

Hii inaonesha wakati ambao Medesi na Peru waliivamia Babeli katika mwaka wa 539 kabla ya Kristo.

kwa mpangilio kama watu wapambanaji

Namna ambavyo wapiganaji wanajipanga vitani.

Binti wa Babeli

Hawa ni watu wa Babeli.