sw_tn/jer/50/35.md

28 lines
501 B
Markdown

# Upanga uko juu ya Wakaldayo
"maadui wanakuja juu ya Wakaldayo"
# Hili ndilo analosema Bwana
"Alilosema Bwana"
# walijidhihirisha kama wapumbavu
Neno "kujidhihirisha" linaonesha kuwa matendo yao yalikuwa ya kipumbavu na watawekwa wazi ili kila mtu awaone.
# watajawa na hofu
"hofu itawajaa"
# watakuwa kama wanawake
"watakuwa dhaifu kama wanawake"
# Chumba cha kuhifadhia
Chumba cha kuhifadhia ni sehemu ambayo vitu vya thamani vinawekwa.
# Watachukuliwa nyara
"maadui watawateka nyara"