sw_tn/jer/50/35.md

501 B

Upanga uko juu ya Wakaldayo

"maadui wanakuja juu ya Wakaldayo"

Hili ndilo analosema Bwana

"Alilosema Bwana"

walijidhihirisha kama wapumbavu

Neno "kujidhihirisha" linaonesha kuwa matendo yao yalikuwa ya kipumbavu na watawekwa wazi ili kila mtu awaone.

watajawa na hofu

"hofu itawajaa"

watakuwa kama wanawake

"watakuwa dhaifu kama wanawake"

Chumba cha kuhifadhia

Chumba cha kuhifadhia ni sehemu ambayo vitu vya thamani vinawekwa.

Watachukuliwa nyara

"maadui watawateka nyara"