# Upanga uko juu ya Wakaldayo "maadui wanakuja juu ya Wakaldayo" # Hili ndilo analosema Bwana "Alilosema Bwana" # walijidhihirisha kama wapumbavu Neno "kujidhihirisha" linaonesha kuwa matendo yao yalikuwa ya kipumbavu na watawekwa wazi ili kila mtu awaone. # watajawa na hofu "hofu itawajaa" # watakuwa kama wanawake "watakuwa dhaifu kama wanawake" # Chumba cha kuhifadhia Chumba cha kuhifadhia ni sehemu ambayo vitu vya thamani vinawekwa. # Watachukuliwa nyara "maadui watawateka nyara"