sw_tn/jer/50/31.md

24 lines
439 B
Markdown

# Tazama
Neno hili linatambulisha kitu hivyo umakini unahitajika.
# Wanaojivuna
Bwana anawaelezea hivi watu wa Babeli.
# Kwa kuwa siku yako imekuja ... muda ambao nitakuadhibu
Sentensi hizi zina maana inayofanana. "Kwa kuwa siku nitakayokuadhibu imefika"
# Siku yako
Hii inaonesha muda ambao adhabu kubwa itakuja juu ya Babeli.
# Nitaangaza
Bwana ataangaza
# Moto katika miji yao
Hii inaonesha namna ambavyo uharibifu utatokea.