# Tazama Neno hili linatambulisha kitu hivyo umakini unahitajika. # Wanaojivuna Bwana anawaelezea hivi watu wa Babeli. # Kwa kuwa siku yako imekuja ... muda ambao nitakuadhibu Sentensi hizi zina maana inayofanana. "Kwa kuwa siku nitakayokuadhibu imefika" # Siku yako Hii inaonesha muda ambao adhabu kubwa itakuja juu ya Babeli. # Nitaangaza Bwana ataangaza # Moto katika miji yao Hii inaonesha namna ambavyo uharibifu utatokea.