sw_tn/jer/50/31.md

439 B

Tazama

Neno hili linatambulisha kitu hivyo umakini unahitajika.

Wanaojivuna

Bwana anawaelezea hivi watu wa Babeli.

Kwa kuwa siku yako imekuja ... muda ambao nitakuadhibu

Sentensi hizi zina maana inayofanana. "Kwa kuwa siku nitakayokuadhibu imefika"

Siku yako

Hii inaonesha muda ambao adhabu kubwa itakuja juu ya Babeli.

Nitaangaza

Bwana ataangaza

Moto katika miji yao

Hii inaonesha namna ambavyo uharibifu utatokea.