sw_tn/jer/50/27.md

361 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anaendelea kuzungumza namna ya kuwaharibu watu wa Babeli na Kaldayo.

Ua ng'ombe zake wote

Askari vijana wanafanaishwa na ng'ombe kutokana na nguvu zao.

ng'ombe wao

"wao" inamaanisha Babeli.

wao ... yao

Hawa ni watu wa Babeli.

Wale

Hawa ni watu waliosalia toka Babeli ambao watawaambia wengine juu ya kisasi cha Bwana.