# Taarifa ya jumla: Bwana anaendelea kuzungumza namna ya kuwaharibu watu wa Babeli na Kaldayo. # Ua ng'ombe zake wote Askari vijana wanafanaishwa na ng'ombe kutokana na nguvu zao. # ng'ombe wao "wao" inamaanisha Babeli. # wao ... yao Hawa ni watu wa Babeli. # Wale Hawa ni watu waliosalia toka Babeli ambao watawaambia wengine juu ya kisasi cha Bwana.