sw_tn/jer/50/17.md

16 lines
306 B
Markdown

# Israeli ni kondoo waliotawanyika na wamefukuzwa na simba
"Israeli ni kondoo ambao wametawanyishwa na simba"
# mmeze
Hii inafananisha uharibifu wa Israeli kama kitendo cha kumeza.
# alivunja mifupa yake
"Aliharibu Israeli"
# Tazama, Ninataka
Neno "tazama" linamaanisha kuwa makini na kinachofuata.