# Israeli ni kondoo waliotawanyika na wamefukuzwa na simba "Israeli ni kondoo ambao wametawanyishwa na simba" # mmeze Hii inafananisha uharibifu wa Israeli kama kitendo cha kumeza. # alivunja mifupa yake "Aliharibu Israeli" # Tazama, Ninataka Neno "tazama" linamaanisha kuwa makini na kinachofuata.