sw_tn/jer/50/17.md

306 B

Israeli ni kondoo waliotawanyika na wamefukuzwa na simba

"Israeli ni kondoo ambao wametawanyishwa na simba"

mmeze

Hii inafananisha uharibifu wa Israeli kama kitendo cha kumeza.

alivunja mifupa yake

"Aliharibu Israeli"

Tazama, Ninataka

Neno "tazama" linamaanisha kuwa makini na kinachofuata.