sw_tn/jer/50/16.md

16 lines
432 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anawaambia maadui wa Babeli namna ya kuvamia.
# yeye anayetumia mundu wakati wa mavuno.
"Mundu" ni kifaa kinachotumika wakati wa kuvuna nafaka. Bwana anasema kuwa kupanda na kuvuna hakutakuwepo Babeli.
# Kila mtu arudi kwa watu wake ... warudi katika nchi yao
Maneno haya yanasisitiza kuwa wageni waende Babeli.
# toka kwenye uoanga wa mtesi
Neno "upanga" linamaanisha adui ambao wataivamia Babeli.